Saturday, March 7, 2015

NIMETUMIWA ZAWADI KUTOKA NYUMBANI ....

 
 Nimewahi kuona hizi soda na majina lakini sikuwahi kuona jina langu na pia ubini/jina la ukoo wangu. Nimeipenda sana hii zawadi ingawa si mpenzi wa soda. AHSANTE SANA  KWA ZAWADI. JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE!!!

9 comments:

  1. hapo unanitisha, mbona hizo soda zimeonesha jina lako na ukoo wako,
    Iweje tena hujawahi kuona jina lako na ukoo wako!
    Kunywa soda mara mbili kwa wiki husaidia kurekebisha kiasi cha asidi tumboni!

    ReplyDelete
  2. Emmanuel! Ndiyo soda zimeonyesha jina langu na la ukoo LAKINI MIMI SIKUWAHI KUONA JINA LANGU NA LA UKOO KATIKA SODA!

    ReplyDelete
  3. wajanja na biashara zao na hawana hata jema moja.wanajali pesa tu kwa majina yetu.watulipe au?

    ReplyDelete
  4. Kaka Ray inawezekana usemacho ni kweli....

    Kaka wa mimi Mhango utapata zote kwani mimi situmiagi/sinywi soda:-)

    ReplyDelete
  5. Haya Yasinta na Lekopozzzz..hahahahaa

    ReplyDelete