TUWE MAKINI TUTUMIAPO VINYWAJI MAANA KUNA WENGI WANAPENDA!!!
Hii inanikumbusha siku moja tulikuwa na sherehe na katika shamrashamra basi kaka mmoja akawa amechukua bia yake na kunywa kumbe mende walikuwa wamemwahi. Na pia mwingine aliingingiliwa na nyuki akamuuma mdomoni na kuvimba vibaya mno. Kwa hiyo ndugu zangu tuwe makini. Tutaonana tena panapo majaliwa...Kapulya!!
Da Yasinta, hakuna tabu, hiyo ni mboga tuu na intumika sana sehemu za huko! By Salumu.
ReplyDeleteKaka Salumu! fikiria hujajua kama yumo humu kwenye chupa? halafu baadaye unagundua......
ReplyDeleteSamaki Nchanga LoL!!!
ReplyDeleteHahahaaaa dada M...nimechekaaaa!!! Samali nchanga eti.....
ReplyDelete