Thursday, February 26, 2015

MWONEKANO MPYA WA DADA MKUU AKA KAPULYA

Jinsi uzee unavyokaribia na ndivyo macho nayo yanazidi kufifia :-) SIKU NJEMA KWA WOTE.

6 comments:

  1. umependeza rafiki wa mimi!

    ReplyDelete
  2. Rafiki wa mimi Ahsante alo...ila hapo ilikuwa ni kujaribu tu naonekana vipi kama nikivaa miwani.

    ReplyDelete
  3. hujazeeka, unatumia punguza matumizi ya computer hadi dakika 90 kwa siku, na miwani zinazeesha, dada wa mimi, asante kwa mada zako

    ReplyDelete
  4. Kaka Emmanuel....ahsante kwa ushauri.halafu huwa situmii miwani hapa niƶikuwa najaribu tu ...karibu sana hapa kibarazani

    ReplyDelete