Friday, February 20, 2015

KARIBU CHAKULA CHA MCHANA ILA MJE NA MBOGA!!!

Maana mie mwenzenu nakula bila mboga wangono wanasema ("ugali wa kisuma")  au umewahi kula ugali na maji yaliyowekwa chumvi tu...
BASI NIWATAKIENI SIKU NJEMA NA TUONANE TENA PANOAPO MAJALIWA!!

6 comments:

  1. Ester ..umenitamanisha ila mimi nina tembele langu hapa:-)

    ReplyDelete
  2. Whoa, hii noma kweli kweli. Huyu jamaa mzima kweli au manjonjo tu?

    ReplyDelete
  3. Ni kazi kwelikweli haswaaa..inawezekana mzima au ndo manjonjo...

    ReplyDelete
  4. haahaaahahhaahahhahahahhahahahhahhahahahhaha
    ni HATARI SANA ASEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  5. Daniel! naona amekuchekesha kweli kweli:-)

    ReplyDelete