Mmmmhh! Miaka saba leo imefika kama mchezo!!!!
Blog ya Maisha na Mafanikio kama mchezo leo yatimiza miaka saba (7) kamili. Napenda kuchukua nafasi hii na kusema:- Hii yote ni kutokana na uwepo wenu ulioambatana na upendo pia ushirikiano mzuri mlio nao. Na kubwa zaidi ni kwa familia yangu kwa kuwa bega kwa bega nami. Pia napenda kusema kwa kupitia michango ya wasomaji na wanablog wenzangu nimeweza kijifunza mambo mengi sana. Na ndiyo kwa sababa hii napenda kusema:- AHSANTENI SANA KWA USHIRIKIANO WENU NASEMA TENA KWANI NAAMINI BILA NINYI, NISINGEFIKA HAPA NILIPO LEO. KWA KWELI NAAMINI KUWA SISI SOTE NI NDUGU NA NI WATOTO WA BABA MMOJA. UPENDO NA UMOJA WETU UDUMU DAIMA NA PIA MILELE!!!!!.......... HAYA JUMATATU IWE NJEMA SANA KWA WOTE MTAKAOPITA HAPA NA WENGINE WOTE.
NIMEONA SI MBAYA TUKIMALIZIA NA BURUDANI KIDOGO YA KIODA/CHIYODA KUTOKA KWA NDUGU ZETU HUKO KIJIJINI MANDA.... KARIBUNI
TUPO PAMOJA DAIMA...KAPULYA/DADAMKUU.
Hongera sana, na kila la heri. Tuko pamoja.
ReplyDeleteAhsante sana..Maana bila ya uwepo wenu singefika hapa na tuzidi kutembeleana kwa mtindo huu.Pamoja daima
ReplyDeleteHongera sana
ReplyDeleteKaka Che! Ahsante sana..
ReplyDeleteHongera Da Yasinta. Tunakutakia mafanikio zaidi katika MAISHA NA MAFANIKIO. By Salumu.
ReplyDeleteHongera kapulya kutimiza miaka saba ya huduma si nchezo. Mungu akuongezee wasomaji na machapisho.
ReplyDeleteKaka Salumu ! Ahsante sanakwa ushirikiano wako.
ReplyDeleteKaka Mhango! Kama ulivyosema si mchezo ila uwepo wenu unanikakamua. Pamoja dsima.
Hongera sana dada. Pamoja daima. Asante sana kwa kutuhabarisha kutufurahisha na kutuelimisha.
ReplyDeletehongera sana dada yangu...blog yetu nzuri iendelee kudumu zaidi na zaidi
ReplyDeleteKaka Nicky Ahsante nawe kwa vile pale upatapo wasaa hukosi kupita hapa na kuacha lako la moyoni.
ReplyDeleteMama Alvin Ahsante sana pamoja daima!
ReplyDeleteHongera sana
Dada M! Ahsante!
ReplyDelete