BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO INAPENDA KUMPONGEZA KAKA SAMWEL MBOGO "SAM" KWA KUFANYA GRADUATION
Ilikuwa ijumaa tarehe 30/1/2015, Ndugu kaka yetu Samwel Mbogo wengi tunamfahamu kwa jina la kaka S au Sam. Alifanya graduation yake katika kanisa CENTERBURY CRISTIAN CHURCH CATHEDRAL university (CCCU huko London. Amepata Master degree ya phychotherapy. Ni Arts Therapy. NAMI NAPENDA KUTANGULIA KUMPA HONGERA SANA .
Hongera sana mkuu S na upo pamoja dada wangu
ReplyDeletehongera kaka MUNGU akubarikiktk maisha yako.
ReplyDeleteNami ingawa nimempokeza kaka S hata hivyo nachukua nafasi hii na kumpongeza tena na kuwashukuru mliompongeza
ReplyDelete