JUMAMOSI NJEMA...NIPO NA KAKA ZANGU KATIKA UPANDAJI WA MITI RUHUWIKO/SONGEA 2015 JANUARI
Nipo na kaka zangu tunapanda miti, huu mti niliosimama nao karibu niliupanda mwaka 2013 na sasa umenipita urefu kazi kwelikweli. Kata miti na pia panda miti kwani ndio uhai. Huu ndio ujumbe wangu wa leo!JUMAMOSI NA MWISHO WA JUMA MWEMA!! KAPULYA.
Ujumbe umepokelewa ....Panda miti mpaka Songea iwe Amazon
ReplyDeleteKelkaf! Kama ulikuwepo ndo wazo lenyewe!!
ReplyDeletehongera dada,sera ya serikali wanasema kata mti panda mti.
ReplyDeleteNdugu yangu Magotti ahsante.
ReplyDelete