Wednesday, January 14, 2015

HII NI KAZI YA MIKONO YETU WENYEWE....UTAKULA ULICHOPANDA.....NYUMBANI SONGEA/RUHUWIKO!!!!

 Tumekuta ndizi tulizopanda zimekomaa na tumezila  hapa ni baadhi tu.....
 ...tuliendelea na mihogo pia nanasi/mananasi.. kazi ya mikono ya kapulya------hatukuishgia hapo
 ....tukayala na maembe maana huu mti upo ndani ya eneo letu yaani tunaumiliki:-)......
----bado tukaendelea na matunda ya  ambayo pia ni kazi ya mikono yetu.."passion"....tutaendelea na picha zaidi...zinakuja:-)

11 comments:

  1. Safi sana. Umenikumbusha Ruhuwiko, ambapo ni njiani kuelekea kwetu Mbinga, na ambapo miaka mitatu hivi iliyopita nilimtembelea dada yangu anayeishi hapo.

    ReplyDelete
  2. Pro.Mbele...nafurahi kama unakumbuka Ruhuwiko. Utakspoenda teba usikose kupitia hapa kwetu.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana, kweli utavuna ulichopanda na utakula ulichovuna, vipi likizo inakwendaje Tupo pamoja

    ReplyDelete
  4. "Kadala" Rachel! Ahsante sana!

    Kelkaf! Ahsante,,
    emu-three! Ndugu wa mimi Ahsante kwa ulichosema na kuandika, Pamoja daima.

    ReplyDelete
  5. Hongera dada kwa juhudi zako yaani hadi raha.Wanetu walifurahi sana naona.

    ReplyDelete
  6. Mama Wane!! Ahsante sana kwa pongezi.Yaani kama ulikuwepo walifurahi sana sana.

    ReplyDelete
  7. Nilikuwa sijapitia ukurasa wako muda mrefu na leo namshukuru Mungu nimepata nafasi ya kupitia makala hadi za nyuma. Ndio maana unaona nakomenti kwenye makala za Januari lakini, yote hii ni kwa upendo tu na ufuatilizi.

    Kiukweli, Yasinta, uko wa kipekee. Umeanikwa ( got exposure) lakini bado uko mnyenyekevu na unakumbuka na kupapenda nyumbani kama sijui kitu gani.

    Namshukuru Mungu kukuweka kati yetu, na amini, najifunza mengi kutoka kwako na nathamini na kutamani ( sijui kama ni tafsiri sahihi ya admire) attitude yako in life.
    Ubarikiwe.

    KIPAPLI

    ReplyDelete
  8. Unknown au Kipapli! Ahsante kwa yote na karibu sana tena na tena!

    ReplyDelete