...Ni viazi mviringo, Karoti ambavyo nipika kwa kuweka kwenye oveni kwa dakika 40, halafu ni kitimoto (amahani kwa wasiotumia) na hiyo nyeupe ni mchanganya wa mtindi na tangu lilokunwa na kitunguu saumu "Tzatziki" au twaweza sema ni saladi ya kigiriki. Na cha kutemshia ilikuwa Maji....
dada utakuwa ulifaidi mnooo
ReplyDeleteMama Alvin yaani kama ulikuwepo hadi kulamba sahani:-)
ReplyDelete