Monday, October 13, 2014

KUADIMIKA...ILIKUWA SHIDA MTANDAONI!!

Napenda kuwaombeni radhi wasomaji wote wa Maisha na Mafanikio kwa kuadimika kwa siku hizi chache. Ni kwamba kulikuwa na shida ambayo sikujua ni nini. Haikuwezekana kuingia na kuweka kitu ila sasa naona nipo nanyi tena. SAMAHANI SANA!!

4 comments:

  1. Monili. Hivi uvili kuswideni anu? Nene na mwana Mchayanu, mdogo wa Jane. Nipo Gotland, nitakwenda Stockholm, jumapili niwuya kunyumba. Tuwasiliane. Tuliwahi kuwasiliana nikiwa Marekani. Email yangu: mchayanog@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  2. Samahani? Mbona uyiti lepi ugimbi?

    ReplyDelete
  3. Ehhh kaka Mchayano jamani ..pitilayi kunyumva yitu...yati nikulonda....ugana ugimbi yati wipata.

    ReplyDelete