Ukiwa DUNIANI USIHUZUNIKE na usiwe MNYONGE hata kama una UMASKINI kiasi gani, Mungu yuko pamoja nawe, na unatakiwa kizingatia haya;.
1. Usijilaumu kwa lolote lililokutokea.
2. Usihofu kuhusu hali uliyo nayo sasa.
3. Usijilinganishe na mtu yeyote duniani.
4. Usifikirie sana yaliyopita katika maisha yako
5. Kumbuka Mungu ndiye mpangaji wa kila linalokutokea.
6. Usiwaze sana kuhusu kesho waza kuhusu leo.
7. kukikosa ulicholikusudia yote ni mipango ya Mungu.
MUWE NA SIKU PIA IJUMAA NJEMA NA MWISHO MWEMA WA JUMA.
Usipowaza kuhusu kesho si hutakuwa na malengo endelevu?
ReplyDeleteAmina...leo ni leo na kesho ni kesho.....
ReplyDeleteahsante dada Yasinta ni ujumbe mzuri.ila kuwaza kesho ni lazima mwenzangu.
ReplyDeleteKwanini mama wane?
ReplyDeleteTunaangalia tulipotoka, tulipo, na kusonga mbele. By Salumu.
ReplyDelete
ReplyDeleteAsante kwa ujumbe murua
Wengi tunakosa furaha na amani kwa kutokana na kuwaza na kufikiria vitu ambavyo
hatuna uwezo wa kuvibadili mfano hutuna uwezo wa kuibadili jinsi kesho itakavyokuwa kabla haijaifika hiyo kesho
Kila la kheri na weekend njema
Kaka Salumu! umenena...
ReplyDeletekaka salehe! ni kweli..ahsante kwa mchango wako.