Wednesday, September 24, 2014

PICHA YA WIKI!!!

NAWATAKIENI WOTE SIKU NA MAJUKUMU MEMA ...KUMBUKA SISI SOTE NI NDUNGU!!

7 comments:

  1. ahsante dada Yasinta nanyi pia muwe na siku njema.Hakika sote ni ndugu na Maisha na Mafanikio ndio NYUMBANI kwetu.

    ReplyDelete
  2. asante dada. nawe pia. sisi sote ni ndugu hasaa

    ReplyDelete
  3. Mama Wane! Siku iliisha vema twamshukuru Mungu!
    Mama Alvin! Ahsante kupita hapa na kuacha lako la moyoni.

    ReplyDelete
  4. Naona kainua kidole, utakuta anasema nani kakuruhusu kupiga picha. Hapo kwenye picha sijui ni wapi? By Salumu.

    ReplyDelete
  5. Kaka Salumu! yaani inawezekana kabisa anasema hivyo sikuwaza hivyo kwa kweli,,,,,,,

    ReplyDelete
  6. Kuna wengine ndugu yao ni wa dini yao. Hayo tuyaache. Waafrika wote ni ndugu hata wenzetu watubague kwa vigezo uchwara vipi.
    Kwaherini ndugu zanguni.

    ReplyDelete
  7. Mwal. Mhango ndugu ni ndugu......ahsantebkwa mchango

    ReplyDelete