Sunday, July 13, 2014

TUANZE JUMAPILI HII NA KIKOMBE CHA CHAI...NINYIME VITU VYOTE LAKINI SIO CHAI!!!

You´re Just my Cup of Tea,
Our Love Warms my Heart.
Najua wote mnajua mie ni mpenzi sana wa chai tena ile isiyo na sukari(Chingambu) :-).
BASI NIWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA SANA. UPENDO NA AMANI ITAWALE KATIKA NYUMBA ZETU.

4 comments:

  1. Chai chai chai ya rangi bila sukari, dada uko juu sana! unaitunza afya yako kisawa sawa. Jumapili njema sana.

    ReplyDelete
  2. Chai ndo mimi na mimi ndo chai damu damu.birika moja kwa siku...uwe na jumapili njema nawe usiwe na jina.

    ReplyDelete
  3. Nilianza kupenda chai isiyo na sukari muda sssa. Naamini hata kikombe ninachokiona haina sukari :)

    ReplyDelete
  4. Kaka Bwaya.....kumbe tupo wengi na hapo ndipo unapousikia utamu/eadha ya/wa chai..

    ReplyDelete