Nyumbani kwa Dada Yasinta hapoooooooo, kuzuri mno na pia kama alivyosema ndugu Mhango ni mansion hiyo! Hongera sana kwa kuwa na nyumba nzuuuuuri mno. Jumapili njema.
Kaka yangu Mhango nami kwanza nasema Ahsante sana... hutaamini nikisema ni mr alichora hiyi ramani..karibu sana Ruhuwiko kwetu. Kaka Nick! haswaaa Usiye na jina ahsante sana...si unajua huwezi kuishi kwa wazazi miaka yote.
Nyumba nzuri sana na mazingira pia. Nina dada yangu, mdogo wangu, anaishi hapa Ruhuwiko, na huenda anakufahamu au angalau anapafahamu hapa nyumbani pako.
Da Yacinta, kwanza hongera kwa mjengo uliokwenda shule pia nimeuzimii ile mbaya. Kwa bush huo mjengo ni hekalu. Big up ikiwezekana weka mwigine zidi.
ReplyDeleteHome sweet home
ReplyDeleteNyumbani kwa Dada Yasinta hapoooooooo, kuzuri mno na pia kama alivyosema ndugu Mhango ni mansion hiyo! Hongera sana kwa kuwa na nyumba nzuuuuuri mno. Jumapili njema.
ReplyDeleteKaka yangu Mhango nami kwanza nasema Ahsante sana... hutaamini nikisema ni mr alichora hiyi ramani..karibu sana Ruhuwiko kwetu.
ReplyDeleteKaka Nick! haswaaa
Usiye na jina ahsante sana...si unajua huwezi kuishi kwa wazazi miaka yote.
Nyumba nzuri sana na mazingira pia. Nina dada yangu, mdogo wangu, anaishi hapa Ruhuwiko, na huenda anakufahamu au angalau anapafahamu hapa nyumbani pako.
ReplyDeleteAhsante pro...inawezekana ...ningefahamu wapi anaishi ningeenda kumsalimia....
ReplyDeleteMpe mr huyo shem wangu hongera kwa mchoro mulua uliokwenda chuo.
ReplyDeleteMwal kaka Mhango! Salamu zimefika na anasema AHSANTR SANA !
ReplyDelete