Wakati mwingine mtu unapaswa kupumzika kupika ..kwa hiyo mimi na kijana wangu tulitoka nje na hiki chakula nilikula mimi au tusema tuliagiza tofauti na tukawa tunaonja kipi ni kitamu zaidi
Kama muonavyo nikawa naonja cha kijana"Pizza" huwa sipendi sana ila nilionja kwa vile naye alionja changu ambacho ni mshikaki wa nyama ngómbe, viazi na bonge la saladi bila kusahau cha kuteremshia mimi maji na kijana cocacola. Hapo sijui ni utamu au pozi??? Siku njema
Kabisa tena Yasinta! Kijana naona hataki tena mambo ya kuwekwa bloguni au?...amekuwa jamani..
ReplyDeleteYaani Mija kama ulikuwepo hapendi kabisa na ndiye yeye alipiga hizo picha
ReplyDeleteNa njaa niliyonayo, macho yote kwenye mishikaki.
ReplyDeleteDa Yacinta hilo sosi bomba ila punguza size. Utazamisha lote hilo bila kunenepa dada yangu? Karibu tule basi japo jasho la mtu haliliwi. Hiyo ni mishkaki au finyango?
ReplyDeleteKaka Bwana umenifanya nitabasamu...ahsante kuacha lako lilikuwa moyoni.
ReplyDeleteHeeeehh, kaka yangu Mhango..ndo maana nimesema tuligawana nusu chake akachukua nami nikachukua nusu yake hata hivyo sikuweza....ni mishikaki kaka:-)
ReplyDeleteRaha ya raha ni kwako na wenzio utapata karahaaaaaa tu.Hiyo kakakola imechakachua menyu.
ReplyDeleteKaka Ray kwa nini kakakola imechakachua menyu?
ReplyDeleteHaina viini lishe!
ReplyDeletenimetamaniiiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteKaka Ray! nimekuelewa.
ReplyDeleteMama Alvin!...kilikuwa kitamu kwa kweli....
obat telat bulan i think your blog very informative cytotec thanks for sharing obat penggugur
ReplyDelete