Sunday, June 15, 2014

KAPULYA ANAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA SANA WOTE MTAKAOPITA HAPA KIBARAZANI

NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA

12 comments:

  1. Nawe iwe njema kwako na familia yako.

    ReplyDelete
  2. Yasinta umependeza kweli kweli! Nakutakia Jumapili njema. By Salumu.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana mpendwa, kama hii picha ni ya karibuni, bac inabidi utupe siri yake...

    ReplyDelete
  4. Hongera sana mpendwa, kama hii picha ni ya karibuni, bac inabidi utupe siri yake...

    ReplyDelete
  5. Hongera sana mpendwa, kama hii picha ni ya karibuni, bac inabidi utupe siri yake...

    ReplyDelete
  6. Ahsanteni kwa kuwa nami jumapili hii..Ndugu wa mimi emu-three ni picha ya kitambo kidogo.

    ReplyDelete
  7. ehhh kaka Ray ! umeadimika ndugu yangu mie Sijambo sijui wewe?

    ReplyDelete
  8. Nimecheka sana sana na comment ya emu-three! hivi ni mtani wako da Yasinta au? Yaani kila nikirudia kusoma nacheka sana.

    ReplyDelete
  9. Usiye jina...sio wewe tu hata nie nimecheks mno...emu-three ni kakangu wa hiari:-)

    ReplyDelete
  10. ehhh kaka Ray ! umeadimika ndugu yangu mie Sijambo sijui wewe?
    -----------------------------------
    Asante nami nashukuru Mungu nipo salama,asante kwa kujali!!

    ReplyDelete