Hongera kwa kilimo kwanza. Bustani imependezaaaaaa! Tunasubiria subiria kama ulivyosema mambo yakiwa tayari ah utaniona hapo mlangoni kwako ili tufaidi kula pamoja. Siku njema.
Maboga kaka Salumu!!! Si alikuwa na mbegu za maboga yasiyoliwa!! Au dada Yasinta umepata mbegu zingine? Nakumbuka mara ya mwisho ulipolima ulikuwa na maboga mwitu ambayo hayafai kwa kula binadamu, au? Kwa hiyo kaka Salumu utasubiri saaaaaaaaaaaaana tu!mpaka twende TZ tena kuchukua mbegu zingine..!!
Ndugu zanguni ahsanteni sana kwa kuwa nami ...wala msiwe na shida wote mtapata mtakacho...nimepata mbegu za maboga ya kula pia kwa hiyo kaka Salumu utakata boga lako....
Hongera kwa kilimo kwanza. Bustani imependezaaaaaa! Tunasubiria subiria kama ulivyosema mambo yakiwa tayari ah utaniona hapo mlangoni kwako ili tufaidi kula pamoja. Siku njema.
ReplyDeleteHongera da Yasinta! Nasubiria maboga matamu uliyoniahidi. By Salumu.
ReplyDeleteMaboga kaka Salumu!!! Si alikuwa na mbegu za maboga yasiyoliwa!! Au dada Yasinta umepata mbegu zingine? Nakumbuka mara ya mwisho ulipolima ulikuwa na maboga mwitu ambayo hayafai kwa kula binadamu, au? Kwa hiyo kaka Salumu utasubiri saaaaaaaaaaaaana tu!mpaka twende TZ tena kuchukua mbegu zingine..!!
ReplyDeleteNdugu zanguni ahsanteni sana kwa kuwa nami ...wala msiwe na shida wote mtapata mtakacho...nimepata mbegu za maboga ya kula pia kwa hiyo kaka Salumu utakata boga lako....
ReplyDeleteNapenda sana figiri. hongera sana dada kwa kulima
ReplyDeleteEster! Basi ikukua tu nitakutumia:-) Ahsante!
ReplyDelete