Monday, June 23, 2014

ILIKUWA 2007 NYUMBANI RUHUWIKO...NIMEONA IWE PICHA YA WIKI!!!!!

 Niliona ni bora nivae na kofia:-)
mmmhh haya ya kofia mimi siyawezi ....lakini sasa eti nimefumba macho sijui ndo nini?

4 comments:

  1. Miaka 7 nyuma ulikuwa hivyo, naona mpaka leo upo hivyo hivyo au unasemaje? Hujabadilika kabisa kwa hiyo picha. Tupe siri ya kutozeeka/ kubakia kijana! Nasubiria dada.

    ReplyDelete
  2. Nyumbani kwetu ni kwetu na kwetu ni nyumbani na hakuna kwetu bila nyumbaniKaribu nyumbani kwa da Yasii!!

    ReplyDelete
  3. Ulitokelezea sana dada wa mimi.hiyo kofia imekutoa vyema.....

    ReplyDelete
  4. Usiye jina hakuna siri yoyote

    Kaka RAY..Ahsante

    Kachiki...ashante ndugu yangu ila hiyo kofia niliazima:-)

    ReplyDelete