Wednesday, May 7, 2014

NIMEIPENDA PICHA HII..NA NDIYO BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMECHAGUA IWE PICHA YA WIKI!!

Nimependa jinsi walivyojipamba:-Nywele, vidani, na bila kusahau tabasamu/Mapozi na halafu ngozi zao nyororo. PAMOJA DAIMA!!

7 comments:

  1. Nzuri sana, yaani Waafika kwa asili ni wapole, wenye furaha na wazuri kama picha inavyoakisi

    ReplyDelete
  2. www.chatguest.comMay 7, 2014 at 8:55 AM

    Mpo sahihi kabisa tena inaonekana wametumia vitu vya asili kujipamba sio kama wengine wanadumisha tamaduni za wagani na kuziua zao.

    ReplyDelete
  3. Mpo sahihi kabisa tena inaonekana wametumia vitu vya asili kujipamba sio kama wengine wanadumisha tamaduni za wageni na kuziua zao.

    ReplyDelete
  4. Na ndio maana nimevutuwa sana na hii picha. Hakuna kupoteza mihela kwa ajili ya kujikoroga ni ya kiasili asili tu.

    ReplyDelete
  5. Kasoro ni hayo mafuta ya ng'ombe...wakati mmwingine huvunda na kunuka!

    ReplyDelete
  6. Usiye na jina! lakini kwani hunika sana? au je afadhali ipi kunuka mafuta ya ngómbe au kuweka mikorogo na kupata magonjwa yasiyotibika?

    ReplyDelete