Napenda kuwapongeza akina mama wote duniani kwani HAKUNA KAMA MAMA. Siku hii ya leo hapa nimepongeza kwa zawadi hizo hapo juu na nimeambiwa nimekuwa mama na mke mwema. Nami nimejibu AHSANTE SANA KWA YOTE NA HAYO YOTE NI KWA AJILI YA MALEZI MEMA YA MAMA YANGU BILA KUMSAHAU BABA YANGU. HONGERA AKINA MAMA/GRATTIS PÅ MORSDAG.
Happy Mother's Day Dada Yasinta pamoja na Wamama wote Duniani,Mbarikiwe sana
ReplyDeleteNashukuru ....hakika akina mama wana haki ya pongezi
ReplyDelete