Monday, May 19, 2014

JUMATATU YA LEO TUANZE NA CHANGAMOTO HII KUHUSU NCHI ZETU ZA AFRIKA!!!!

SWALI:- Je? ni nchi gani/zipi  haina/hazini  herufi A katika bara la Afrika?
NAWATAKIA KILA LA KHERI. PAMOJA DAIMA!!!

18 comments:

  1. Ni nchi 55 ndani ya Africa zisizoanzia na herufi 'A'. By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu ...unafikiri unaweza kuzitaja.?

    ReplyDelete
  3. Kama utatoa zawadi, nitazitaja! By Salumu.

    ReplyDelete
  4. hahaha dada.....umenifurahisha

    EGYPT
    NIGER
    CONGO
    MOROCCO
    IVORY COST
    BURUNDI
    wengine waendelee

    ReplyDelete
  5. Hongera sana mama Alvin... nimefurahi kama nimekufurahisha:-)...

    ReplyDelete
  6. SUDAN
    RWANDA
    MALAWI
    KOMORO
    JIBUTI
    ETHIOPIA
    ERITREA
    KENYA
    UGANDA
    TANZANIA
    MALAWI
    MSUMBIJI
    RWANDA
    SHELISHELI
    SOMALIA
    SUDAN
    KAMERUN
    CHADI
    GABON
    NIGERIA
    BENIN
    GHANA
    JAMHURI YA KONGO
    MISRI
    MOROKO
    TUNISIA
    BOTSWANA
    NAMIBIA
    LESOTHO
    USWAZI
    BURKINA FASO
    GAMBIA
    GUINEA
    GUINEA BISSAU
    LIBERIA
    MALI
    NIGER
    SENEGAL
    TOGO
    SIERRA LEONE
    MAURITANIA

    HIYO ZAWADI NADHANI NITAIPATA MIE. NAOMBA UNIWAHISHIE DADA MAANA NINA NJAA SANA SANA! AAH...

    ReplyDelete
  7. We wa hapo juu unaedhani utaipata zawadi, mbona hujataja kwa Gaddafi! Hivyo mshindi ni mimi. By Salumu.

    ReplyDelete
  8. Kaka salumu naona hii zawadi itakuwa ya mama Alvin..

    ReplyDelete
  9. Da Yasinta mi sitaki zawadi kubwa. Unipikie maboga matamu kutoka bustani yako bas!By Salumu.

    ReplyDelete
  10. Wala usikonde...maboga utapata yaani ww kaka Salumu ni kama vile uliingisa kichwani mwangu na kusoma mawazo yangu ni zawadi ipi iwe.

    ReplyDelete
  11. Ngoja nami niongozee nchi ambazo hazina herufi A...ni Togo, Benin, Lesotho, Shelisheli, Djibouti, Comoro na Msumbiji

    ReplyDelete
  12. Mh jamani dada Yasinta leo umekuwa mbaguzi tena wa rangi! aaah: Yaani nimetaja nchi zote kasoro Libya tu, yaani 54 na hata kuongelea comment yangu hakuna, ama kweli waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba, mana naona unasema zawadi itaenda kwa mama Alvin sijui kwa kuwa mie ni anonimasi! Sasa huyo mama Alvin kataja nchi 6 tu. Mie nimetaja 54 halafu hata husemi kitu sawa. Ila pia umeniudhi kurudia nchi niliishazitaja na sijui kwa nini! angalia nchi ulizotaja zote nimezitaja. Haya ntakuwa si comment kama umeanzisha ubaguzi. Leo sijapenda utaratibu wako na kaka Salum umenichekesha sana sana. Ila sasa kwa kutaja moja napo hapana bado nasubiria mtoa zawadi ampe mama Alvin, duh...nilivohangaika kuzichapa hizo nchi kumbe dada hakuwa anahitaji majibu sahihi yaani kutaja nchi zote. Usiku mwema.

    ReplyDelete
  13. Ntapumzika kutoa comment kwa muda. Mie ni anonimasi wa hapo juu mwenye nchi nyingi. Natumaini dada Yasinta sio mwalimu mzu´ri kabisa maana anadesa kwa mwanafunzi wake, nchi nimetaja na yeye kazirudia, mwl asiye makini! Kingine hataki kumsifia anayefanya vizuri, anasifia wenye marks za chini, siku ingine hakuna haja ya kujibu maswali yako, na ndio maana kaka Salum aliamua kuacha mpaka ajue kama kuna zawadi ila nadhani aliona uvivu kuzitaja. Sikutegemea kutotajwa kabisa yaani! embu kavae hata miwani ya jua usome hizo nchi nyingi nilizotaja dada. Kama huna ya jua itabidi uazime.

    ReplyDelete
  14. Usiye na jina! Swali linasema Nchi ambazo katika kuandika herufi A haipo sio nchi ambazo zina A, hivyo ndivyo swali lilivyoulizwa

    ReplyDelete
  15. Kwa kuwa mimi ni mtaalamu sana wa mambo hayo nikwambie tu mojawapo ya nchi hizo ni Lesotho (hapa herufi A haipo), nyingine ni Egypt, enhee na hapa jirani tu kuna Congo na Burundi. Aa zipo nyingi tu, si unaona ee nimeshakushinda nipe zawadi yangu sasa hivi.

    ReplyDelete
  16. Kaka Mligo..umechelewa kido tu:-) ila utafikiriwa

    ReplyDelete
  17. kaka hapo juu zawadi yangu. kwanza hujaelewa swali. wewe umetaja nchi zenye herufi A, wakati dada Yas kasema tujaje nchi zisizo na herufi A


    hehehehe

    ReplyDelete