LUNDO:- Nimekumbuka sana leo, ugali wa mhogo, dagaa, kisamvu, matembele(mbwaka) bila kusahau samaki wa aina mbalimbali ndicho chakula kilichonikuza. Dagaa hawa ni watamu zaidi pale uwapatapo tu yaani wabichi ..hasa lile wanaota (lighanda) ikiwa na maana zilizochomshwa na kukaushwa maji yote usisahau chumvi na kapilipili kwa mbaliiii....Duh! najitesa bure hapa ngoje niache ila nitazile muda si mrefu Mungu akipenda:-) JUMAPILI NJEMA!
Jamani, nimekosa neno. Wacha nijinyamazie! By Salumu.
ReplyDeleteKaka Salumu...ahsante kusema neno:-)
ReplyDeleteNawahitaji kwa ajili ya biashara
ReplyDelete