ASIFIWE WAKATI WA UHAI WAKE
Ni vigumu kuisahau tarehe 23/3/ 2011, siku hii ndiyo tuliyompoteza mpendwa wetu Asifiwe Ngonyani. Na leo imetimia miaka mitatu tangu ndugu yetu mpendwa Asifiwe atutoke. MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA. AMINA.....TUTAKUKUMBUKA MILELE....
Mungu ampe pumziko jema na kuwaliwazeni mliobakia. Amina.
ReplyDeleteSalamu za rambirambi kwa Ngonyani.God awabariki wote, Salamu
ReplyDeletekutoka Ubelgiji Guido majaribio ya ndege katika Brussels! Pepe (thespecialist@skynet.be)
Pumzika kwa Amani....Asifiwe...
ReplyDeleteTunamwomba Mungu wetu mwenye huruma, amsamehe alipochafuka na aipokea roho yake pema Mbinguni. Amina. RIP Asifiwe Ngonyani
ReplyDeleteMungu awatie nguvu katika kumbukumbu hii siku ya leo. Kweli mavumbini tutarudi.
ReplyDeleteNachukua nafasi hii kuwashukuruni wote mliopita hapa kwa kutufariji kwa kuacha maoni na pia wale waliopita njia. Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa ushirikiano wenu na azidi kuwapa moyo. Ahsante sana kwa kuwa pamoja nasi siku hii ya kumbukumbu ya mpendwa wetu Asifiwe.Tunakukumbuka daima.
ReplyDeleteNisamehe kutonesha kidonda chako tena rafiki yangu, lakini nimeonelea hii isinipite hivi hivi bila kumuombea kwa Mungu mdogo wetu Asifiwe aendelee kupumzika kwa amani.
ReplyDeleteRaha ya milele umpe Eee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie. Astarehe kwa amani. Amina
Rafiki yangu wa hiari...ahsante sana ni faraja kubwa kuona upo nami kimaombi.
ReplyDelete