Hapa ilikuwa 2011
Hapa 2013
Na hapa ni 2014 ingawa sketi si nyeupe ila inaelekea huko huko...Kwa kawaida nilikuwa si mpenzi sana wa rangi nyeupe zaidi ya nilipåokuwa shule ya msingi, yaani kuvaa shati nyeupe. Na pia ile ndoto yangu ya kuwa sista maana ningekuwa navaa. Ila sasa ....kama watu wasemavyo mtu hubadilika napenda nyeupe ila sana sana nyeusi na kijani:-).....SWALI:- Je wewe una rangi ambayo unaipenda sana kupita zote?
Mimi napenda Nyeupe,Bluu na Nyekundu...
ReplyDeleteUmependeza sana KADALA pia umeanza kunyoa NYUSIIIII.....Yaani umetokelezeaaa....
hahahahahahhh...Jioni Njema dada wa mimi.
Kachiki...ama kweli tupo tofauti kwa kupenda rangi. Hahahaaaa kunyoa NYUSI..sijawshi tangu kuzaliwa, ukiona hivyo ujue ni uzee ...nyuso zinanyonyoka. ..
ReplyDeleteHahahahaa...unauzee gani KADALA jamani?
ReplyDeleteKACHIKI...DALILI SI HIZO UMEZIONA NDUGU WANGU? ...:-D
ReplyDeleteSi haba sister ulitoka kinomi nomi so to speak. Ipige tena sasa uone utakavyokwatuka na kutoka.
ReplyDeleteKaka Mhango! Ahsante. ..na wala usikonde nitatimiza pendekezo lako!
ReplyDeletedada naona full kutokelezea sana tu mbona
ReplyDeleteMi napenda rangi ya bluu bahari. halafu ukikaa ulaya ni kama huzeeki
ReplyDeletevile, kila siku nakuonaga uko vile vle.