Kanisa hili la Wino lina historia yake fupi katika familia ya akina Ngonyani. Ni kwamba baba yangu mkubwa ameshiriki ujenzi wa kanisa hili. Basi kwa kahistoria haka kafupii napenda kuwatakieni wote JUMAPILI NJEMA pia kumbukeni mfungo wa PASAKA umeanza....Ni mimi Kapulya!!
Asante sana KADALA wa mimi. Iwe njema kwenu pia.Salimia watu wangu hapo nyumbani.
ReplyDeleteAhsante nawe pia KACHIKI. Nawe usisahau kuwapa salamu hapo kunyumba.
ReplyDeleteasante sana dada kutukumbusha mfungo huu muhimu kwa wakristo
ReplyDeleteMama Alvin mdogo wangu...Ni kweli kabisa na karibu sana mambo ni kukumbushana.
ReplyDelete