Thursday, February 20, 2014

PICHA YA WIKI...UBUNIFU MWINGINE BWANA!!!

Ndiyo ni ubunifu mzuri....ila binafsi ningetumia mkaa au kuni maana hapa...itakuwaje. Swali linakuja je? kama hakuna umeme utafanyaje?... Na je? kutaliwa nyama tu?..:-) SIKU IWE NJEMA SANA KWA WOTE NA IKIWEZEKANA JARIBU UBUNIFU HUU ILA USIMWACHE MTOTO AJARIBU:-)

2 comments:

  1. Da Yasinta, huu ubunifu labda kwenye nchi ya barafu na isiyo na misitu, yaani hakuna kuni! na kwa kweli haiwezi kuwa na ladha kama mishikaki ichowayo na makaa huku TZ. By Salumu.

    ReplyDelete
  2. Kaka Salumu! ni kweli usemavyo. Lakini wakati wa dhiki kila kitu kinakuwa kitamu...ila sikufikiria hata siku moja kuchoma kitu kwenye pasi zaidi ya kushonya nguo:-)

    ReplyDelete