Friday, February 14, 2014

IJUMAA YA LEO NI IJUMAA/SIKU YA WAPENDANAO NA MAISHA NA MAFANIKIO INA UJUMBE HUU KATIKA SIKU HII KWA WATU WOTE KWA SIKU HII!!!

Katika maisha furaha kubwa ni kupenda na kupendwa
Basi kwa ujumbe huu usipoteze furaha uliyo nayo. NAWATAKIENI IJUMAA /MWISHO WA JUMA HII UISHE VIZURI!!!

2 comments:

  1. Nakutakia sikukuu njema Dada. Upendo wako kwa shem wajomba na watu wote uzidi siku hadi siku. Happy Valentines Day

    ReplyDelete
  2. Kaka Nicky! Ahhsante kwa baraka zako..Nawe iwe hivyo hivyo pia---Happy Valentine´s Day.

    ReplyDelete