Umenikumbusha mbali yaani. Asante dada ila nikumegee tu..siku moja tulikuwa twasafiri kwenda mwanza kwa kupitia katika mbuga ya Serengeti. Tukipofika maeneo karibu na Kirawira Gate jamaa mmoja akaomba achimbe dawa. Gari kusimama eti akawa anakimbilia porini akaambiwa utakuwa kitoweo sasa hivi.... Hapo hapo panafaa. Kurudi kwenye gari hatua chache baadae tukakutana na kundi la wafalme wa pori. Mmm mbona angeiona ahera!
utalii wa ndani oyeeee.....safi sana dada
ReplyDeleteKaribu Tanzania na mpate furaha ya uoto wa asili na viumbe mbalimbali wenye kupendeza.Tanzania,Tanzania nakupenda.....................
ReplyDeleteUmenikumbusha mbali yaani. Asante dada ila nikumegee tu..siku moja tulikuwa twasafiri kwenda mwanza kwa kupitia katika mbuga ya Serengeti. Tukipofika maeneo karibu na Kirawira Gate jamaa mmoja akaomba achimbe dawa. Gari kusimama eti akawa anakimbilia porini akaambiwa utakuwa kitoweo sasa hivi.... Hapo hapo panafaa. Kurudi kwenye gari hatua chache baadae tukakutana na kundi la wafalme wa pori. Mmm mbona angeiona ahera!
ReplyDeleteKweli wageni karibuni sana tanzania, kisiwa cha utajiri wa asili
ReplyDelete