"Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kuime, naye ataitwa Emanuali" Maana yake "Mungu yupo pamoja nasi."
NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII KABLA KUZALIWA KWAKE BWANA WETU YESU KRISTO IWE NJEMA KWA WOTE. KAMA ILIVYOANDIKWA MUNGU YUPO PAMOJA NASI. WOTE MNAPENDWA....KAPULYA
Tunashukuru iwe njema na kwako Da yasinta.
ReplyDeleteAhsante Nancy! na tuwaombee wengine wote wasioiona siku ya leo.
ReplyDelete