Leo mdada kavalia nyeupe ilikuwa ijumaa kulikuwa na sherehe na hivyo ndivyo alivyotokezea ....:-)
Anashangaa kama vile anatoka usingizini....Mpiga picha ni kaka Erik. Nawatakieni wote Jumapili njema sana na iwe yenye upendo na baraka. na pia maandalizi mema ya Noel.
Asante sana KADALA wa mimi,Iwe Njema kwako na Familia pia....
ReplyDeleteUmependeza sana Mwanamitindo.
Kumbe Yasinta ni mdogo mdogo sana! Inavyoonyesha hizo picha zimekutoa jinsi ulivyo kabisa, nadhani zingine huwa zinakuongeza ukubwa au? Kama nimekosea niwie radhi. Yaani ni mtoto wa darasa la tano hivi kule kwetu Tz. Jamani unakula nini mpaka umebakia hivyo?
ReplyDeleteKACHIKI wa mimi ahsante alo :-)
ReplyDeleteUsiye na jina huo ndiyo mwili wangu wa kila siku Na wala sili kitu maalumu ila basi tu..Ahsante