Thursday, October 3, 2013

ZILIPENDWA...UNAWAFAHAMU WATU HAWA AU UNAJUA HAPA NI WAPI?



Wametulia hapo bila wasiwasi inaonekana ni mahali pazuri na penye utulivu...Haya karibuni kufumbua fumbo la leo....:-) Sijui itakuwa mwaka gani hapa????

8 comments:

  1. Nadhani itakuwa 2008, wapi, sipajui! By Salumu

    ReplyDelete
  2. Hao ni wanao, wapi, somewhere in Sweden! By Salumu.

    ReplyDelete
  3. Dada na familia. akina Camilla walikuwa wadogoo

    ReplyDelete
  4. Kweli ni patulivu kwa picha. Nahisi ni Songea, Tanzania. Jamani wanao walikuwa wadogo na hata mama yao ni mdogo mdogo. Tunahamu sana tujue ni wapi. Siku njema.

    ReplyDelete
  5. Najaribu kuwaza kwa sauti kama ni mahali fulani mkoani Ruvuma!!

    ReplyDelete
  6. Hapo ni songea,pia namuona mwanachama wa CHADEMA Camila mwenyewe kavalia kabisa!!.kaka s

    ReplyDelete
  7. Hapa ni uwanja wa mashujaa Songea. hiyo ni pasipo shaka yoyote.

    ReplyDelete
  8. Yaani nimefurahi mno kwa maoni yenu ahsanteni sana. Usiye na jina wa 2:43PM ndo kavunja rekodi yaani umepatia kabisa. Na ni kweli ni mimi ns wanangu haoa tulikuwa wadogo na ilikuw nadhani 2007. NI MAKUMBUSHO SONGEA. Ruksa kuendeles na mjadala

    ReplyDelete