Kama mnakumbuka kuna mada niliwahi kuiweka hapa kwa kuwakumbusha basi gongeni kapulya. Matunda haya ni maarufu sana katika Mkoa wa Ruvuma nasi huyaita masuku na wangoni wanasema Mapotopoto ni matamu sana. Na kwa kujipatia hela ni rahisi sana masuku kumi ni shilingi 100 kwa hiyo ukiwa nayo mia moja uongo mbaya...NAWATAKIENI JUMATANO NJEMA SANA WOTE NA PANAPO MAJALIWA TUTAGONGANA TU....
Ahaaaaaaa,Ruvuma inavuma!!!
ReplyDeleteNayafahamu haya matunda ila nimeyasahau yanaitwaje. Majina yote uliyosema ni mageni kwangu. Siku nikiyakumbuka basi nitakuekleza. Siku njema.
ReplyDeleteKaka Ray! ni haswaaaa ina vuma na itavuma sana:-)
ReplyDeleteKaka wa mimi Mrope...Nasubiri hilo jina jingine kwa hamuuuu....
Acha ivume kwa kuwa ina wavumishaji!!
ReplyDelete