Monday, October 14, 2013

JUMATATU HII TUANZE NA ZILIPENDWA!!!

Je? Kuna unayemtambua katika picha hii. Jumatatu iwe njema kwa wote.

10 comments:

  1. Yasinta mama Erick yupo kulia kabisa

    ReplyDelete
  2. mimi pia naungana namchangiaje hapo juu yasinta ni mwanzo kulia

    ReplyDelete
  3. Leo ni sikukuu IDD ya waislamu na nawatakia waislamu wote sikukuu njema!

    ReplyDelete
  4. Nami nawaza kwa sauti Yasinta huyoooooooooooo!Mwanzoni kulia!!

    ReplyDelete
  5. Yasinta wa kwanza kulia, mie nna swali hapo ulikuwa na umri gani? unasoma wapi?

    ReplyDelete
  6. Mmmhh! Kweli ya kale dhahabu pichani hapo ni Wilima secondary 1992 ni kweli toka kulia ni:- Yasinta Ngonyani, baada yake ni Agnes Fusi, Doroth na Leopodina....kwangu mie kumbukumbu nzuri sana..
    Kama umeona picha hii tuwasilisne...
    i

    ReplyDelete
  7. Bonge ya kumbukumbu, wapo wapi hao wengine?

    ReplyDelete
  8. Dada mkuu msaidizi yaaani ni kweli bonge la kumbukumbu..Kwa kweli sijui wapo wapi ..na kama wataangalia hapa naomba tuwasiliane..

    ReplyDelete
  9. Hi dada yasinta
    Heri Ya mwaka mpya umenikumbusha mbali kwa kweli. Agnes fussi. Ni mekutana nae Dar mwaka jana August hao wengine sijui yako wap? Nice picture.

    ReplyDelete