Hapa ni njegere nazo zimezaa kweli ..
Maboga nayo hayoooo :-)
Vitunguu navyo havipo nyuma, kwa hiyo hakuna kununui vitunguu kwa muda. Mliopo jirani karibuni na wote wengine. Nipo kwenye mkakati wa kupanda ile vigiri nitawaonyesha hivi karibuni ni vipi kuwadhibiti wale viwavi...Nitajaribu
Dah cjui ntafanyaje, natamania kweli. Hongera Da yasinta.
ReplyDeleteDah cjui ntafanyaje, natamania kweli. Hongera Da yasinta.
ReplyDeleteShambani Shambani. Mazao bora shambaaaaani. ..Hongera sana kadala wa mimi.
ReplyDeleteHongera da Yasinta. Tunakuombea mafanikio zaidi.Natumaini tutakula na mapapai pia. By Salumu
ReplyDeleteNancy! Njoo ndugu yangu...karibu sana
ReplyDeleteKachiki...ahsante Alo kawimbo katamu ako
Salumu ! Ahsante kakangu...hahahaaaaa umenichekesha kuhusu mapapai labda nanasi
Honera sana Yasinta kwa kuthibisha kuwa wewe ni mkulima bora sana.Karibu sana kwenye sikukuu ya wakulima ya nane hapa Tanzania.
ReplyDeleteHongera sana Yasinta. Duh nadhani sasa itabidi nije kwa kweli hali ni ngumu kuvumilia hayo mazao ya shambani kwako. Tutajumuika wote karibuni ila naukiulizia vipi vile viazi mviringo vipo au vimeisha? Siku njema.
ReplyDeleteDa Yasinta yani bustani imependeza sana sana! hongera kwa kilimo kwanza mana unakipa kipaumbelea kilimo hadi raha, ukizingatia kuwa unaishi ulaya.
ReplyDeleteKaka Ray! Ahsante kwa kunitia moyo.
ReplyDeleteUsiye na jina wa 4.44 pm karibu sana sana. Viazii mviringo bado vipo ila wahi.
Na usiye na jina wa 4.46pm ahsante nazidi kupata moyo
Dada Yasinta hongera sana ila kama ungepunguzia matawi nyanya zako zingekuwa kubwa zaidi, mbolea yako imeliwa na matawi usiyoyahitaji next time you will do your best
ReplyDelete