MAREHEMU MAMA ALANA NGONYANI 1952-2004
Imetimia miaka 9 tangu ututoke ghafla usiku wa tarehe 17 Agosti 2004 wakati bado tulikuwa tunakuhitaji. Ingawaje kimwili umetutoka, kiroho bado tunakukumbuka. Tunakukumbuka siku zote kwa upendo wako, mawazo yako yaliyojaa busara , ukarimu/ucheshi na malezi bora. Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi.
Tunamwomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi. AMINA
Na tumkumbuke mama yetu kwa wimbo huu
+TUTAKUKUMBUKA MILELE MAMA YETU MPENDWA ALANA NGONYANI+
Poleni kwa ndugu,jamaa na marafiki.
ReplyDeleteMungu azidi kukupa amani na faraja wakati huu unapomkumbuka mama yako mzazi.
ReplyDeleteUlale kwa Amani mama Ngonyani,,Poleni sana familia ya Ngonyani.
ReplyDeletePoleni sana dada, Ulale kwa amani Mama
ReplyDeleteAhsanteni wote kwa kuwa nasi katika kumkumbuka nama yetu mpwbswa Alana.
ReplyDelete