Da Yacinta umenikumbusha mbali. Hakika uzuri ni wa kuzaliwa nao. Turidhike na jinsi tulivyoumbwa badala ya kujimaliza na madawa hatari kwa ngozi na mwili. Hakika Marijani alikuwa Jabali. Nakutakia wikendi njema.
Mwal/kaka Mhango yaani miziki ya zamani ilikuwa na ujumbe wa kueleweka. Nakumbuka marehemu mama alikuwa akiimba utadhani yeye ndiye mtunzi....zamani kweli zilipendwa.
Dada Yasinta, je wewe ni yule Yasinta wa Wilima Sekondari miaka ya 90? Wakati huo mimi (Sylvester Haule) nikiwa Mifugo Madaba. Kama, ndiye, ninahitaji kuwasiliana nawe ili unisaidie kuwapata ndugu walioko Sweden. Nitakupa maelezo zaidi ikiwa sijakosea kuwa ni Ngonyani wa Klyson. Kwasasa niko Copenhagen nikifanya masomo ya juu. Unaweza kuniandikia kwa email haulesc@gmail.com, au sh@ifro.ku.dk Asante.
Habari. Asante kwa kutukumbusha kuhusu wimbo wa maerhemu marijani Rajabu Jabali la Muziki. Safari nyingien weka mwanameka au masuudi amekuwa jambazi. Mapumziko mema.
Asante sana dada, nawe pia
ReplyDeleteDa Yacinta umenikumbusha mbali. Hakika uzuri ni wa kuzaliwa nao. Turidhike na jinsi tulivyoumbwa badala ya kujimaliza na madawa hatari kwa ngozi na mwili. Hakika Marijani alikuwa Jabali.
ReplyDeleteNakutakia wikendi njema.
Ester! Shukrani sana.
ReplyDeleteMwal/kaka Mhango yaani miziki ya zamani ilikuwa na ujumbe wa kueleweka. Nakumbuka marehemu mama alikuwa akiimba utadhani yeye ndiye mtunzi....zamani kweli zilipendwa.
Miziki zilipendwa ndio mpango mzima sio hizi za siku hizi wanazoita sijui breki dansi, sijui nini. By Salumu.
ReplyDeleteAsante nawe pia!!
ReplyDeleteDada Yasinta, je wewe ni yule Yasinta wa Wilima Sekondari miaka ya 90? Wakati huo mimi (Sylvester Haule) nikiwa Mifugo Madaba. Kama, ndiye, ninahitaji kuwasiliana nawe ili unisaidie kuwapata ndugu walioko Sweden. Nitakupa maelezo zaidi ikiwa sijakosea kuwa ni Ngonyani wa Klyson. Kwasasa niko Copenhagen nikifanya masomo ya juu. Unaweza kuniandikia kwa email haulesc@gmail.com, au sh@ifro.ku.dk Asante.
ReplyDeleteHabari.
ReplyDeleteAsante kwa kutukumbusha kuhusu wimbo wa maerhemu marijani Rajabu Jabali la Muziki.
Safari nyingien weka mwanameka au masuudi amekuwa jambazi.
Mapumziko mema.
Karibu kaka Ray!
ReplyDeleteSylvester Haule..hakika milima haikutani bali wanadamu hukutana..Niye mimi hasaa
Kaka Msanda!! wala usikonde nitaweka tu ahsante kwa chango wako....