IJUMAA YA LEO TUANGALIE BAADHI YA MISEMO YA KANGA..
1. Upendo na Amani Ametujalia Mungu
2. Likinifika nitakujibu.
3. Usimwingilie aliyepewa kapewa.
4. Kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa.
NAWATAKIENI WOTE JIONI YA IJUMAA HII IWE NJEMA NA MWANZO MWEMA WA MWISHO WA WIKI......Kapulya
Huu ni utamu wa lugha ya Kiswahili na waswahili na kiswahili chao.
ReplyDeleteNimependa kiswahili hiki cha waswahili na kiswahili chao.
ReplyDeleteVikao kaeni Umbea acheni.
ReplyDeleteAsante nawe pia Dada Yasinta au Mama, Ijumaa njema.
ReplyDeleteNa asante kwa ujumbe mzuri.
Asante, Da yasinta jioni njema na kwako pia
ReplyDeleteDa Yacinta hili si eneo langu la kujidai. Hivyo, sitaacha unyayo kama kawa ingawa utajua nilipita.
ReplyDelete