Monday, July 29, 2013

JUMATATU YA LEO TUANZE KIHIVI ...ELIMU/KITABU.....

Mwaka huu nilipokuwa nyumbani sikukosa kwenda duka la vitabu Peramiho kununua vitabu na kitabu mojawapo ni hiki ukionacho pichani WANGONI....VITA, HADITHI, METHALI NA VITENDAWILI....Kwa kweli nakipenda sana kwani najifunza mengi.

4 comments:

  1. Nipe kitabu nichome,niwapundishe wajinga hai......... chindimba!!

    ReplyDelete
  2. Ahsanteni ndugu zanguni yaani nafurahi mno kujua zaidi mimi ni nani wiki ijayo nitawaonyesha kitu lingine ni mli ghafi sana:-D

    ReplyDelete