Saturday, June 15, 2013

JUMAMOSI YA LEO TUTEMBELEE MJI WA IRINGA..NA WIMBO HUU...

JUMAMOSI IWE NJEMA KWENU WOTE...UJUMBE:- Tumaini huzaa Furaha, Furaha huzaa Amani

3 comments:

  1. Asante sana Kadala wa mimi..nawe iwe njema na familia.

    ReplyDelete
  2. nyimbo hii inanikumbusha mbali sana! ila ubunifu huu wa video nimeupenda sana! Haya na wew jumamosi njema kwako...

    ReplyDelete
  3. Kachiki wa mimi najua nimekupeleka kunyumba...:-)

    Kaka Justin! nafurahi kama umekumbuka mbali na umeupenda ubunifu huu wa video hii...Ahsante

    ReplyDelete