1. Dar es salaam - Utapeli
2. Arusha - Heka heka
3. Mbeya - Matukio
4. Tanga - Majini
5. Dodoma - Ombaomba
6. Mwanza - Fujo
7. Kagera - Misifa
8. Rukwa - Uchawi
9. Kilimanjaro - Ujanja
10. Mara - Ukatili
11. Kigoma - Ubishi
12. mtwara - Umaskini
13. Ruvuma - Ugoni
14. Singida - Upole
15. Tabora – Majungu
16. Shinyanga - Miujiza
17. Morogoro = Starehe
18. Iringa - Ukorofi
19.Zanzibar ???
20.Pemba ??
NAWATAKIENI MWANZA MWEMA WA MWISHO WA JUMA...
Duh..kaaaazi kwelikweli..mie natoka namba 13...Ruvuma....
ReplyDeletewaja leo ndo khabari kamili, yalikozaliwa mapenzi TANGAAAA sasa hayo majini tena mie hoi. hhahaha
ReplyDeleteKwahiyo huko Ruvuma ni mwendo wa `ugoni' kesi kila siku au...hahaha, huyo aliyetoa hizo sifa sijui katumia mizani ipi, Tupo pamoja mpendwa
ReplyDeleteHahaaa Iringa wametuonea kwa kweli mbona sisi tu wapole sana? sisi sifa yetu ukituudhi tunajinyoga kumaliza fitina, hahaaaa.
ReplyDeleteDuh Viva Afrika! karibu sana ulipotea sana ..umenichekesha kweli:-)
ReplyDeleteemu-three! mimi naona wanatuonea tu sikubaliani na hilo...:-(
Edna! :-)
Kilimamnjaro ila sijaelewa ujanja gani hapo!
ReplyDeletemi pemba
ReplyDeleteMtunzi hapa aliamua tu kuwasilisha ujumbe fulani kwa hadhira na wala ubunifu hauna mahusiano ya karibu na maisha ya mikoa husika.
ReplyDeleteKilimanjaro mshiko bana mangi unasahau tena mambo yetu yale?
ReplyDeleteMizani ya mwandishi ni vigumu kuielewa kwa kuwa ameshindwa kuitambua mikoa kwa asili zake.
ReplyDeleteMfano:Kiasili mikoa ya Dar es salaam,Pwani na Morogoro ina uwiano sawa.
Kwa! Kweli Mtwara ni mkoa maskini kuliko yote? Hayo ni maoni binafsi...
ReplyDelete