Hapa ni baadhi ya duka maalumu kwa kanga tu..tukiwa katika msako wa kununua kanga..si umeona zilivyo nyingi. Tulipata shida sana kuchagua. Hili ni baadhi ya kitu dhaifu kwangu..kuchagua.....
Ndani ya soko kuu ...hapa ni sehemu ya kupata mchele
Huwezi kununua mchele tu Nyanya, Vitunguu na mapochopocho mengine ni lazima pia..
Nyumbani kwa wenzetu ndiyo huku.Karibuni sana!!
ReplyDeleteKaka Ray! Sijui kama nimekupata hapa:- "Nyumbani kwa wenzetu ndiyo huku" akina nani?
ReplyDelete