1.Kuku wangu kataga mibani.....
2. Nina watoto wangu ambao daima wanafukuzana lakini hawakamatani.
3. Ninapompiga mwanangu watu hucheza
4. Mwenye kuitwa amefika lakini mjumbe bado hajarudi.
5. Bibi mweupe ametupwa mibani.
HAYA NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA !!!!!
1.Kuku wangu kataga mibani....NANASI
ReplyDeleteKaka Ray! umepata vema makofi wa wa wa:-)
ReplyDeleteMhhh;makofi kidogo kwa nini?
ReplyDelete1. Nanasi
ReplyDelete3. Ngoma
4. Machicha ya nazi