Napenda kuwatakia jumapili njema wote mtakaopita hapa maisha na mafanikio ...naomba wote tusali sala hii...
Salamu Maria, umejaa neema.
Bwana yu nawe
umebarikiwa kuliko wanawake wote,
na Yesu, mzao wa tumbo lako
amebarikiwa.
Maria mtakatifu, Mama wa
Mungu,
utuombee
sisi wakosefu,
sasa na saa ya kufa kwetu.
Amina.
JUMAPILI NJEMA SANA KWA WOTE....
Ameen! Asante sana kadala wa mimi. .iwe njema kwako na familia pia.
ReplyDeleteKachiki duh! Jumipili yangu ilikuwa ya mikikimikiki sana..ila tupo salama.
ReplyDeleteKumbe Yasinta unapakaga poda usoni au angelface!!!?? Mie hapa nakuona uso wa podapoda. Tupe siri ya urembo wako mama wa kitanzania halisi.
ReplyDeleteUsiye na jina! Ungejua sohawaji kutumia poda maisha yangu yote ba pua nina dhurika na vitu kama hivyo...sijatumia chochote na hakuna siri yoyote. Ahsante ....
ReplyDeleteHongera Yasinta, basi hiyo ni natural beauty kweli! Unaonekana vizuri sana, au unazidi kuwa msichana.
ReplyDeleteKama hupakagi poda basi tuambie unatumia nini uso kupendeza kama umepaka make-up...watu wengine Mola alitake extra time kuwaumba walahi....
ReplyDeleteHahaha usiye na jina umenichekesha kweli eti nazido kuwa msichana...AHSANTE ndugu wangu.
ReplyDeleteMija ....natumia lotion tu za kawsida kutpka duka la madawa kwani nina alegi mno....dada mkuu msaidizi umenifurahisha eti mungu alichukua muda wa ziada kuumba watu wengine...kaaaazi kwelikweli.