Sunday, April 7, 2013

JUMAPILI HII TWENDENI KUNYUMBA SONGEA KULE KULE "SID FARM" KAMA UNAELEKEA SONGEA BOYS VILE...HAPA ILIKUWA MWAKA HUU MWANZONI...JUMAPILI NJEMA WANDUGU..

Akina Ngonyani wakiwa pamoja..
 
Nimaona ngona nimsaidia huyu dada kuhudumia wateja:-)

6 comments:

  1. Yasinta umependeza sana tena sana, nimependa hilo vazi lako na jinsi lilivyokupendeza. Ombi kama itawezekana tuwekee picha zaidi. Jumapili njema.

    ReplyDelete
  2. Usiye na jina ...Ahsante sana kwa kuona akina Ngonyani tumependeza...Wala usikonde ntakuwa naweka picha:-)

    ReplyDelete
  3. Unasema umeona heri umusaidie huyo mwanadada, mbona hujabeba na wewe angalia chupa mbili..lol, hongera kwa kumjali

    ReplyDelete
  4. Yasinta umependezaje?

    Hebu naomba utusaidie wadau wako kwamba, ni kwanini wangoni majina yao mengi wamechukua kwa wanyama?

    Ngonyani, Mapunda.. n.k, Je kuna historia yoyote? Kaka S mtaalamu wa mambo ya Tamaduni,swali hili unaweza tusaidia pia..

    Asanteni..

    ReplyDelete
  5. Da Yasinta ungebeba walau chupa ili uwe umemsaidia mdada, nimepend kw pichaaakweli, ni nzuri

    ReplyDelete
  6. emu3! nilikuwa namsaidia kupangusa meza...

    Mija Ahsante alo dada mkuu msaidizi.. Halafu wewe nawe kwa vijiswali..Lol haya nimejaribu kukujibu umeona?..Kaka S upo wapi???

    Ester! nilimwomba chupa lakini akaniambia niwe nafutafuta meza:-)

    ReplyDelete