Mbali na kuhimiza kulinda na kutunza mazingira, tuwatunze na kuwalinda pia wanyama walio katika mbuga zetu za Tanzania na po pote. Tazama, jinsi twiga huyu anavyovutia na kuipamba nchi yetu. Mungu akaona kitu alichokifanya, na tazama ni chema sana. JUMAPILI NJEMA SANA KWA WOTE NA KWARESMA NJEMA PIA...KAPULYA
Asante sana Dada Yasinta....na kwako pia.
ReplyDeleteNi kweli wanyama ni rasilimali kwa taifa, tunaingiza pesa kutoka kwa watalii, ...ujumbe muruwa, na j2/na j3 njema
ReplyDeleteKaka Baraka! ahsante kwa kuwa nami jumapili hii....
ReplyDeleteemu3! Nakubaliana nawe ni muhimu kuwatunza wanyama na ni kweli rasilmali..Uwe na jumatayu njema naamini jumapili yako ilikuwa njema
Asante sana kukutupatia nafasi ya kukumbuka urithi wetu........................@Yasii.
ReplyDelete