Saturday, March 23, 2013

KUMBUKUMBU...LEO NI MIAKA MIWILI TANGU MPENDWA WETU ASIFIWE NGONYANI ATUTOKE

ASIFIWE KATIKA UHAI WAKE NYUMBANI RUHUWIKO
Ni vigumu kuisahau tarehe 23/3/ 2011.Imetimia  miaka miwili leo tangu ndugu yetu mpendwa Asifiwe atutoke.MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA. AMINA.....TUTAKUKUMBUKA MILELE....

12 comments:

  1. Pole sana dada,Mungu azidi kumpumzisha kwa amani mpwenda wetu.

    ReplyDelete
  2. RIP Asifiwe.
    By Salumu.

    ReplyDelete
  3. Mungu awe nawe daima.

    ReplyDelete
  4. RIP asifiwe mungu akupumzishe salama pole dada yasnta mshukuru mungu kwa yote tuzidi kumuombea ndugu yetu.

    ReplyDelete
  5. Mungu azidi kuwapa faraja na nguvu na kumpumzisha mwendazake.

    ReplyDelete
  6. NACHUKUA NAFASI HII NA KUWASHUKURUNI WOTE MLIOUNGANA NA NAMI/NASI KATIKA SIKU HII KUMKUMBUKA NDUGU YETU MPENDWA ASIFIWE. MWENYEZI MUNGU NA AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI. TUTAKUKUMBUKA DAIMA.

    ReplyDelete
  7. Ulale kwa Amani da'Asifiwe..Pole sana da'Yasinta na familia yote ya Ngonyani.

    ReplyDelete
  8. Poleni sana familia ya Dadi Ngonyani.

    ReplyDelete
  9. Kachiki, Ray na Chacha ..ahsanteni kwa kuwa nasi katika siku hii usiyoweza kusaulika...

    ReplyDelete
  10. vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg

    ReplyDelete