Sunday, March 10, 2013

BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO INAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA SANA !!!


Jumapili njema sana kwa wote..kwa kuifanya jumapili iwe njama zaidi basi mtembelee mtu yeyote yule kama vile wagonjwa, mayatima au hata rafiki...

3 comments:

  1. asante sana Dada Yasinta, na kwako pia na familia yako J2 njema sana!

    ReplyDelete
  2. Kaka Baraka natumaini nawe jumapili yako imekuwa njema..Ahsante

    ReplyDelete
  3. Kachiki naupenda sana huu mwimbo niliwahi kuusikia mara moja tu sikujua hata unaitwaje, sasa baada ya kuusikia tena hapa kwa nimefurahia sana!
    Ubarikiwe kwa kuuweka hapa jukwaani kwako.
    Mama Mark

    ReplyDelete