Unaweza kushona shati pia kama kaka Kitururu alivyofanya si unaona kapendeza mwenyewe......
.....na halafu kama kawaida unaweza kushona gauna kama uonavyo hapa safi kabisa
aise na hapa pia unaona gauni..kitenge kimoja ila tofauti hasa rangi zake kinapendeza kwa kweli ....Jumatatu njema jamani.
...........kabila yake mziguaaaaaaa
ReplyDeletekweli wamependeza duh
"Kupanga ni chaguo na chaguo ni kupanga".Ubunifu na umakini ukiwepo kila jambo lawezekana kwa wakati wake!
ReplyDeleteEster kumbe unakumbukumbu wewe...nimecheka kweli hapa na kukumbuka jinsi tulivyokuwa tunaimba kwa kujidaiiii..
ReplyDeletekaka Ray..ni kweli hakuna lisilowezekana na kila kitu kweli na wakati wake.
Hivi wazigua waliwakosea nini watu hadi kupewa sifa hii... Chaajabu nao wanaonekana kuifurahia sifa hii..
ReplyDeletePamoja daima..