Hapa alianza na mkanda wa kipepeo mwaka 1992 hakika zilipendwa haswaaaaaa.................
.....................akaona ngoja ajaribu na mkanda wa kitaifa si mbaya au??? 2011
,,,,na leo 2013 yupo na mkanda mwingine, inaonekana anapenda sana mikanda huyo dada...ni kweli:-)
nawatakieni IJUMAA NJEMA NA MWISHO WA WIKI UWE MWENYE FURAHA NA UPENDO KWENU PAMOJA NA MAJIRANI ZENU. TUPO PAMOJA.
Mwana mitindo bab kubwa!!
ReplyDeleteBy Salumu.
Hakika maisha na mafanikio ni safari ndefu na mapito yake ni kwenye milima,mito na mabonde.Hongera sana da'Yasii na hakika umependezaaaaaaaaaaaaaaa!!
ReplyDeleteNa hiyo mikanda inamtoa vyema kabisa....nanyi muwe na wakati mwema.
ReplyDeletewakola dada wa mikanda,inakupendezesha yaani kwetu huko tunaita "OMWEKO" yaani mama wa ukweli na mwanamke wa kiafrika lazima awe na Omweko.....
ReplyDeleteAsante sana dada Rachael kwa kuvunja ukimya maana binadamu tumejenga mazoea ya kukosoana kwenye mabaya na kusahau kupongezana kwa yaliyo mema.Binti wa watu kapendeza basi acha apewe sifa zake asisome yeye mwenyewe akiwa na uhai wake.Hongera na pongezi sana ni kwako Yasinta Kapulya Dadi Ngonyani.
ReplyDeleteKaka Salumu! Ahsante sana
ReplyDeleteKaka Ray! kweli kabisa hii safari ni ndefu mno ..Ahsante
KACHIKI... usengwili..
batamwa! ulikuwa wapi nimekumiss...ahsante bwana
Kaka Ray kwa mara nyingine ahsante sana kwa yote
Beautiful Ngoni lady! Beautiful pictures indeed.
ReplyDeleteDada Yacinta umependezi!!!
ReplyDeleteMama erick umependeza sanaaaa!!!
ReplyDeleteBro Samweli..Thank you very much...
ReplyDeleteMwl. Mhango! Ahsante:-)
Dada wangu M! Nimekumiss kweli..Ahsante kwa kuona nimependeza..
Na mimi itabidi nianze kuvaa mikanda sasa, maana imenogesha mpaka naona wivu.
ReplyDeleteEdna! ulipotea karibu tena mwala usione wivu we anza tu...
ReplyDeleteHIYO MIKANDA NIMEIPENDA, HALAFU HAIISHI FASHION KABISAAAAA....IMEMPENDEZA MWANA DADA
ReplyDelete