KAKA SIMON KITURURU /BABA MAX HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA
Mwezi huu ni kumbe tupo wengi tuliozaliwa mojawapo mimi mwenyewe ambaye nimevunja makumi kadha, Na leo kaka Simon Kitururu naye kavunja kalenda na wengine wote kama vile shemeji Isaac mume wa dada Rachel, kaka Haki Ngowi, baba wa mzee wa Changamoto, na mtoto wa kaka yangu Sam Mbogo, mtoto Oskar..na wengine wote wanaotimiza miaka/mwaka mwezi huu HONGERA SANA KWA MWEZI WETU...!!!
Hongera sana Mtakatifu.. Mwaka umeuanza vizuri huu...as "baba"
ReplyDeleteHappybirthday..
HB Kitururu. Kwanini ulinidanganya hivyo bro. Uliniahidi comments baada ya kusoma kitabu changu cha Saa ya Ukombozi halafu ukatupa jongoo na mti wake! Anyways, keep yourself warm.
ReplyDeletehongera nguli. usitupe jongoo na mti wake this year.
ReplyDeleteHONGERA kaka Kitururu na wote mliozaliwa mwezi huu!!!
ReplyDelete